Hatimaye klabu ya yanga imevunja mkataba wake na aliekuwa kocha wao mholanzi Hans van de pluim maarufu Ka babu .Yanga imefikia uamuz huo baada ya kutoridhishwa na matokeo ya timu hyo katika ligi wengine waliotimuliwa kocha msaidizi juma mwambusi,juma pondamali kocha wa makipa na meneja afidhi salehe chanzo kinasema mpaka sasa George Lwandamina kutoka Zambia kashawasili na kusaini kandarasi ya miaka miwili na kufanikiwa kumrejesha mkwasa kama kocha msaidizi ,upande wa kocha wa golikipa ni manyika Peter na meneja ni Sekilojo Chambua awali George Lwandamina alikuwa akiinoa Zesco united ya Zambia
Zedekia Emmanuel
blog inausiana na habari mbalimbali
Jumatatu, 24 Oktoba 2016
Jumatatu, 12 Septemba 2016
Arsene Wenger: Naimani Jack Wilshere atasalia Arsenal maisha yake ya uchezaji
Kocha Arsene Wenger amesema anamatumaini ya kiungo wake wa kati Jack
Wilshere, ambaye kwa sasa yupo klabu ya Bournemouth kwa mkopo, atasalia
Arsenal maisha yake ya uchezaji
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)